22.11.13

Tuesday, May 08, 2012

Stamina ft Jux - Alisema ( Official Video)

4 comments:

Anonymous said...

uyu Sitamina kma mzki wa kibongo unatoka kwa kujua basi uyu anajua sna wapo wwengi sna wanafanya hip hop lkni wte hao ni bule uyu ni kiboko yao ata kma atachelewa kupata jina wenywe wanakoma na uyu dogo mdau norway

Yes I say T said...

The kid is amazing...I fck wth his tracks! salute

Anonymous said...

sms ya maana safiii kaka uwezo unao ukipondwa achana nao wewe mkali

Anonymous said...

Hi dj choka

Aise huyu dogo Stamina anatisha hana mpinzani kwenye bongo hip hop...afande sele nakuomba umpe ushilikiano huyu dogo pliz.