22.11.13

Sunday, June 10, 2012

EXCLUSIVE PICTURES: Wema Sepetu akiwa kwenye nyumba yake mpya.

Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV

Wema, Snura & Zamaradi

Abou & Zamaradi

Mtoto mie nikiona kaunta tu Basssssssssiiiiiiii

 Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote ya nyuma ya Wema.

Gari yake ya kwanza ilikuwa hii

Gari ya pili na ndio hii na ndio anayoipenda

Hapa ndipo anapoishi Miss Wema Sepetu maeneo ya Kijitonyama....wakati tukiendelea na kupiga picha mtangazaji kutoka Clouds TV Zamaradi alikuja kufanya interview ya Take 1 kwa hiyo kaa tayari itakujia siku si nyingi ndani ya Clouds TV

29 comments:

Anonymous said...

Jyea dats wat I call classic interior

Anonymous said...

sasa dj choka mimi sijakuelewa hiyo ni nyumba ya wema kweli au ni nyumba ya mtu anakodesha kwa kuektia movie yake siwezi kuamini kabisa kama hilo linyuma ni la wema ndio sikataii kama hawezi kuwa na nyumba lakini sio hiyo kabisa hata nimnifanye nini siamini hiyo unampamba tu kama gari ndio nakubali lakini hilo lijumba hapana wacheni kuadaa watu

Anonymous said...

sasa dj choka mimi sijakuelewa hiyo ni nyumba ya wema kweli au ni nyumba ya mtu anakodesha kwa kuektia movie yake siwezi kuamini kabisa kama hilo linyuma ni la wema ndio sikataii kama hawezi kuwa na nyumba lakini sio hiyo kabisa hata nimnifanye nini siamini hiyo unampamba tu kama gari ndio nakubali lakini hilo lijumba hapana wacheni kuadaa watu

Anonymous said...

wema, unastihili pongenzi za ukweli, keep it up mamaaa! (Randy menson)

Anonymous said...

Wow I'm loving u more sweets!!!!u made my night!!lokin at these pictures I'm envin u sweets!!!keep on showin there the real u!!!!I'm happy u finally shut them up!!!kisses

kokusimah said...

Hongera wema nimependa hii san.

Anonymous said...

asee una akili sana we mdada...n dats da reason why i admre u alot...wale mashoga zako ni umbea tu hawana la maana...hongera sana,u ll always be ma favourite actress

Anonymous said...

Yake au kapanga?

Anonymous said...

kichwa chako kinafanya kazi vizuri sana

Anonymous said...

Naomba Website Ya James , aliyetengeneza nyumba ya wema.Naitaji kumpa kazi huku Arusha anifanyie. Tafadhali DJ. Am Serios

Unknown said...

Diva: Nadhani utajiri wa waigizaji wa kike Bongo unatokana na kujiuza

Anonymous said...

Hongera wema anahitaji namba ya james

Anonymous said...

number ya james tafadhari tuwekeeni hewani

Anonymous said...

wema, keep it up girl...!
thats whatsup for HATERS, hahahaha yes on ur faces..!
Team Wema oyeeeeeeee!

Anonymous said...

wema, keep it up girl...!
thats whatsup for HATERS, hahahaha yes on ur faces..!
Team Wema oyeeeeeeee!

Anonymous said...

Big up Wema.

Anonymous said...

mimi nimefurahia tingatinga paint na nyumba nzuri.jamani tujivunie paint za tingatinga tuweke kwenye nyumba zetu.

Anonymous said...

Hongera sana tunaomba number ya James please!!

Anonymous said...

Kaonesha hat icje kapewa funguo den anatamba kwa media ili kuongeza umaarufu 2

Anonymous said...

HIYO NYUMBA NILIONA KWENYE BLOG YA ESTATE INAPANGISHWA LBD KM ILIBADILISHWA IKAUZWA, TENA LINK YAKE IPO JAMII FORUM

BUT BIG UP FOR THE FURNITURES

Anonymous said...

no matter wat they wl say abt yuh wema,u wil always shine,am sure haters wamebaki midomo waz!hongera dada

Anonymous said...

ana hati miliki au kapanga?

Anonymous said...

wema umetisheeeeeeeer, kazi kwao mahaters, watajibeba mwaka huu

Anonymous said...

Loh! Uyo wema ndio kujichubua ama kama nguruwe.....

shamila ismail said...

u shut them up very well...am taking about the haters.keep shinning wema.

shamila ismail said...

u jus shut them up very well....am talking abt ur haters..keep shinning wema.

Anonymous said...

Wema i know u have money now usipoteze wakati achana na waswahl wa blog fulani ikiwezekana nunua kiwanja kikubwa now jenga appartment upangishe ili uwe na uhakika wa kutoshuka milele

Anonymous said...

mh, kama yake Wema hongera zake! Saidia wasiojiweza c kujenga na kufurahia dunia, mazur meng tutayaacha

Anonymous said...

Hongera wema