WTF choka huyu nyandu anavaa hii alama kwenye T shirt anajua maana yake!??? no wonder wasanii wa Bongo wanakosa hata show Za nje mtu wangu! Hiyo Alama ni ya kisenge sana! Full usenge na sio ujanja!
Mambo vipi choka?nakukubali sana kwa kutupa raha na news motomoto haswa kwa sisi tulio nje ya TZ..Hivi huyu dogo Hamidu ni mzima kweli mpaka kuvaa t-shirt yenye nembo ya ki-NAZI auu ndio elimu ndogo na hajui ni kitu gani alichokivaa?naomba uipost hii choka na ikiwezekana umshauri hiyo t-shirt sio poa...
It's a shame kwa Hamidu kuvaa hiyo t-shirt,tena sana tu,naishi Usa(NY) hapa,angevaa halafu apite mitaani au iwe kwenye picha kama hivi halafu watu waone haki ya mungu kesho yake keshavamiwa na kupigwa kama sio kuuliwa kabisa.Ni bonge la mjinga huyu mtoto kuvaa hiyo t-shirt,kweli elimu na ufahamu ni muhimu kwa wasanii wa Tanzania...SHAME ON YOU HAMIDU
5 comments:

Is that a swastika t-shit I see?! Kweli Tanzania tunahitaji elimu.
Mambo vipi choka?nakukubali sana kwa kutupa raha na news motomoto haswa kwa sisi tulio nje ya TZ..Hivi huyu dogo Hamidu ni mzima kweli mpaka kuvaa t-shirt yenye nembo ya ki-NAZI auu ndio elimu ndogo na hajui ni kitu gani alichokivaa?naomba uipost hii choka na ikiwezekana umshauri hiyo t-shirt sio poa...
Mdau Sweden
Choka wanachosema wadau ni sahihi. Blog maana yake pia ni kuelimisha, inawezeka hajui alitendalo ila kamshauri, inaweza ikamcost hiyo tshirt.
It's a shame kwa Hamidu kuvaa hiyo t-shirt,tena sana tu,naishi Usa(NY) hapa,angevaa halafu apite mitaani au iwe kwenye picha kama hivi halafu watu waone haki ya mungu kesho yake keshavamiwa na kupigwa kama sio kuuliwa kabisa.Ni bonge la mjinga huyu mtoto kuvaa hiyo t-shirt,kweli elimu na ufahamu ni muhimu kwa wasanii wa Tanzania...SHAME ON YOU HAMIDU
Jay from NY
Post a Comment