22.11.13

Saturday, July 28, 2012

NEW TRACK: Mandojo & Domo Kaya - Nilimuona

4 comments:

Anonymous said...

Kaazi kwelikweli...ingelikua kama vitoto ningesema labda utoto unawasumbua kumbe wala mibaba mizima amakweli dalasa muhimu sana katika maisha eti simweusi ila ni mweupe wakati mkijua kabisa ya kwamba mnawatusi wazazi wenu mjaribu basi kutoka nnje ya nchi yenu muwaone hao weupe wanavyo tamani kua weusi lakini ndio hivyo tena hawawezi...ndio maana miyaka tele mpo kwenye game lakini Hamna lolote mpo mpo tu kama chura majini..nadhani pia bado mpo kwenye nyumba za kupangisha..mbadirike na maneno yenu yasio kua na msingi kwenye jamii..dada zangu wote weusi na mama zangu wote weusi..wala msinunue au kusikiliza nyimbo zao.

Anonymous said...

Ucpanic mzee, tulia ckiliza wimbo uuelewe sio unatoa povu la bure kwa udhaifu wako wa kukurupuka kuckiliza wimbo.

Unknown said...

kama kazi mbovu isisemwe jamani mandojo na domo kaya wasani wakitambo stil bado wanafanya mbovu ktk industry ya music mpaka lini wakajipange sasa

Unknown said...

mandojo na domokaya mmefuria ngoma mbovu mkajipange hata ommy dimpoz hamumuwezi kwa sasa