22.11.13

Tuesday, August 07, 2012

HABARI KWA WADAU WA BONGO FLAVA LINK

Natumai nyote ni wazima wa afya,nashukuru sana kwa kuzidi kunipokea wadau wote na wale wanaoona umuhimu wangu.Napenda leo hii kusema kuhusu mabadiliko ya blog yangu  ya BONGO FLAVA LIINK na kubadilisha mfumo wote pamoja na kuifunga  link ya blog hiyo.

Sasa nimefunguwa blog mpya ambayo nimeona nitumie jina langu. Blog  mpya ya CHUMA  ambayo  itakuwa ikikuletea Habari ,Burudani,Udaku, Maisha na Jamii inayo kuzunguka . Karibuni sana ukiona Link hii mpatie na mwengine.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu asanteni Sana.

Kutembelea Blog hiyo Bofya hapa:   http://thechuma.blogspot.com/
Kwa Mawasiliano:

CEO, CHUMA BLOG :    SALIM CHUMA

                Email:         salimmore@yahoo.com
                                     chuma255@gmail.com

                Phone No:   +255 712 222244          
                                      +255 782 222244

No comments: