22.11.13

Wednesday, August 01, 2012

NENO KUTOKA KWA MH JOSEPH MBILINYI

 
...jana nilikomaa kuitaka serikali ilete mbeya mjini ambulances tatu,moja kwa ajili ya hospitali ya rufaa,ya pili kwa ajili ya hospitali ya wazazi meta na nyingine ya standby iwapo mgonjwa atatakiwa kuletwa muhimbili n.k...lakini waziri dr mwinyi amenihakikishia tutapata ambulance moja mpya kwa ajili ya rufaa kutoka wizarani,na nyingine kanielekeza nikakomae na halmashauri ya jiji,kitu ambacho nitakifanya bila shaka...

4 comments:

Anonymous said...

We gat u back sugu and God will stand by u forever u made evrythng possible by yo'self.......!

Anonymous said...

We gat u back sugu and God will stand by u forever u made evrythng possible by yo'self.......!

Unknown said...

Safi sana mheshimiwa sugu

Anonymous said...

Good lucky Mr Joseph, God be you in every things by defending your nation!