22.11.13

Friday, August 31, 2012

NEW TRACK: MWANZA ALL STAR

Wimbo huu umeimbwa na wasanii kutoka Mwanza ambao ni Sagna, Baraka, G, Riko, Athuman, Saxena, Kijo na Seco Bwai,
Track imetengenezwa studio za Mbunda Records Zilizopo jijini Mwanza

5 comments:

nYAMI dE said...

Machz cjawakubali japo na tokea mwanza .kutengeneza ngoma za kubamba 2waachie waha

Anonymous said...

Hata waha..wamevamia kazi za watu..japokua natoka kigoma..miziki tuwaachie wenyewe wa moro..mfano baraka wa mweshehe..afande sele na wengine kichele..moro si miziki tu hata kwenye football kwao ni asiri..achakushabikia miziki ya chochea ngono hiyo ya waha..kilakukicha nakupenda ndio nyimbo zao..nyimbo za ujumbe kwenda kwa jamii yetu kwao tungo tata...moro oooyeeee go go moro.

Anonymous said...

binafsi sijaikubali kabisa, nadhani hawakutakiwa kujiaata ALL STARS coz majority ya wanao-run Mwanza kama FID SIJAWAONA HAPO..., Wajipange...

Anonymous said...

Hivi itakuaje kama wanamuziki wote wa kutoka mji kasoro au moro watoke na ngoma kwa pamoja wengine siwataacha kuimba jamani?..maana vijana wa moro wanatisha kinoma...afande sele ndio kubwa lao 2015 mbunge wa moro mjini kupitia chama gani vile?..mwenye jina la chama msaada tutani wana moro.

Anonymous said...

Jamaa wametoa video pia, iko tofauti kidogo mwishoni, kuna C-Sir madini ndani pia:

http://www.youtube.com/watch?v=VG-71hGKU3M