22.11.13

Tuesday, September 18, 2012

Bakkle Time - Bulletproof Feat George P & Sevad ( Classic Dancehall)

Huyu ni msanii machachari katika ulimwengu wa Dance hall anakwenda kwa
jina la BULLETPROOF aka Dancehall master, ni mtanzania asilia
aliyemasomoni Nairobilakini anafanya Muziki wa Dancehall kwa kwa
inspired na Bounty Killer, Bay C wa T.O.K na hii ni ngoma yake akiwa
amemshirikisha  George P ambaye ni former member wa Gully Side chini
ya Movado , kwa sasa yeye ndio kiongozi wa kundi la Fagan Fraternity
linaloundwa na Flexx,Kibaki,Savage na K natural. Na wapili
kushirikishwa katika nyimbo hii ni Sevad ambaye yeye ni mwanamuziki wa
kujitegemea anayetamba na nyimbo yake iitwayo addicted kule Jamaica.
Bulletproof asema kuwa mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu
ataachia video yake ya Bakkle time itayofanywa nchini Nairobi na
Jamaica . Lakini yote kwa yote Bulletproof anakuja pia na REMIX ya
BAKKLETIME wakiwemo wasanii wengi toka Bongo,Kenya na Jamaica  kama
SICK AROAD na wengine wengi.
Isikilize ngoma ya Bakkle Time sasa na udownload: Its a Hot Club banger

CHECK IT ON hULK SHARE  http://hu.lk/eze6wseivnk0

No comments: