22.11.13

Monday, September 17, 2012

Samiratha's Sheesha Grand Opening at GIRAFFE OCEN VIEW HOTEL.

Kwa wale wapenzi wa kuvuta Sheesha kuanzia leo ukiwa ufukweni maeneo ya Mbezi Beach Giraffe Ocen View Hotel utaweza kupata sheesh yako ambapo kuna zenye ladha tofauti tofauti  kama MINT, GRAPE, DUBLE APPLE, BUBLE GUM, PICH and STARW BERRY

hawa ni moja kati ya marafiki wa Samiratha waliofika leo kumuunga mkono rafiki yao.

 Fide na Samiratha

 Ally Kiba naye alipita na kuvuta Sheesha kidogo maana huyu jamaa ni mpenzi mkubwa wa Sheesha akiwa kwenye mapumziko yake.

 Samiratha na DJ Choka

 Cheers

 Fide, Samiratha and DVJ Penny

3 comments:

Anonymous said...

jamani

Anonymous said...

jamani dada fide huwa nampendaga sana pamoja na watu kumponda huyu dada namkubali sana kitu kimoja tu ajajijulia ni ktk kupiga pcha anapenda sana kucheka au kutabasabu wakati wa kupiga picha ukweli nimebahatika kuona picha ya fide amepiga amenunu anapendeza sana kuliko kucheka ukweli kucheka hakumpendizi kabisa sijui hakuna mtu wa kumwambia ukweli ktk hali ya ustaarabu ataelewa amepungua amependeza ila hiyo tabasabu yake sio nzuri bora asitabasu

Unknown said...

chezea karim wewe toto ya mjini