22.11.13

Thursday, September 13, 2012

Wanene Entertainment All Arusha Cypher Vol. 1 Video

Hii ni Arusha Cypher toka kwa Wanene Entertainment pamoja na Dark-Q Photography, kwenye hiyo cypher ya kwanza yupo: Kc Monsta (FBG), Fi Do (Vatoloco Soldiers), Lavosti (Vatoloco Soldiers), Jodo Man (Bad Taito), Dogo Tundu (Watundu Squad) katika ya cypher ya pili kutakwepo: Daz Naledge, Chabba, JCB, na Benjie wa FBG.

No comments: