22.11.13

Wednesday, October 24, 2012

TODAY,DISLIMINATION VIDEO SCREENSHOTS(coming soon)

 Hizi ni baadhi ya Screenshots za video mpya kabisa ya wasanii Dee Cee na Slim Deezy wakiwa wamemshirikisha Banx,video imefanyika na Nisher Entertainment huku audio ikiwa imeandaliwa na O'donis,na kufanyiwa recording na DX na John B na pia final touches zikiwa zimefanywa na John B, Today ni wimbo utakaotambulisha project ya pamoja ya Dee Cee na Slim Deezy itakayoitwa Dislimination,''Tunataka kuonesha watu upande tofauti wa Arusha alisema Dee Cee,tuna mengi sana kwaajili ya massive nzima ya Tanzania asema Slim Deezy,,watu wakae mkao tu,ahsanteni

1 comment:

Anonymous said...

Kwere xana ii video