22.11.13

Tuesday, November 20, 2012

BAADA YA DUKA LA NGUO SASA NI INTERNET CAFE & STATIONARY "IZZO BIZNESS"

Msanii wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina na Izzo B, baada ya duka lake la nguo kufanya vizuri huko Mbeya sasa amekuja na duka lingine ambalo litafunguliwa siku za karibuni maeneo ya Teku University Mbeya na duka hilo limepewa jina la Izzo Bizness Internet Cafe and Stationary.

No comments: