22.11.13

Tuesday, November 20, 2012

Kutoka Mitupio Inc Entertainment anakuja Mtoto Mpya Kabisa anaitwa ''Planet''

‘’Kutoka Mitupio Inc Entertainment anakuja Mtoto Mpya Kabisa anaitwa ''Planet'' na Single yake ya kwanza kabisa inayoitwa ''Mboni Zangu'' ambayo imetayarishwa na Studio Hatari sana ya kutengeneza mziki A.M. Records chini ya usimamizi wake Bob Manecky (Mdogo wa Mkali Manecky). Imefanyika bonge ya ngoma ndani ya A.M. Records na kuhakikisha inatendewa haki upande wa Video amesimamia the Genious Abbykaz zoezi hilo na Ijumaa ya tarehe 16/ 11/ 12 vipande vyote vya video hiyo vilikamilika. Kaa tayari kwa ujio wa kipaji hiki kipya a.k.a. ‘’PLANET’’ kutoka MITUPIO INC ENTERTAINMENT kwani mzigo wa AUDIO na VIDEO uko njiani kudondoka SOON. ‘’

Artist: PLANET
Single: MBONI ZANGU
Audio: A.M. Records (Prod. Bob Manecky)
Video: Abbykaz

''COMING OUT SOON''

No comments: