22.11.13

Tuesday, November 27, 2012

Kumalizia Msiba wa Mama Betseba Francis Lupembe Balandya-Jumapili tarehe 02~Dec~2012

Familia ya Dr. Cornelius Lugata Balandya inapenda kukukaribisha katika shughuli ya kumalizia msiba wa mama yetu Marehemu Betseba Francis Lupembe Balandya aliyefariki dunia Ijumaa ya tarehe 05-Oct-2012 na kuzikwa Jumatatu 08-Oct-2012 katika Makaburi ya Mbezi Kibanda cha Mkaa.

Shughuli ya Kumalizia msiba itafanyika Jumapili ya tarehe 02-December-2012 kwa sala ya shukrani itakayofanyika katika kanisa la Roman Catholic la Mt. Monica la Kimara Kilungule saa 1:30 asubuhi na kufuatiwa na chakula cha mchana nyumbani kwa marehemu Kimara Kilungule saa 6 mchana.

Nyote Mnakaribishwa

William Kaijage (+255-783-883841)

No comments: