22.11.13

Tuesday, November 27, 2012

R.I.P. Hussen Ramadhani Mkiete (SHARO MILLIONER)

Bado siamini kama kweli umesepa mwanangu ila tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi, nilikuwa mtu wa karibu kwako haswa utoapo wimbo mpya au video na kuniomba niweke kwenye blog hii na ulikuwa ukiita blog hii kwamba ndio dunia yako yakuwasambazia watu kwa haraka music wako. 

Bongo Star Link inawapa pole wazazi wako na wote ambao walikuwa wakipenda kile ambacho ulikuwa unafanya ndugu yangu. 

R.I.P
Hussen Ramadhani Mkiete (Sharo Millioner)

No comments: