22.11.13

Wednesday, November 28, 2012

MWILI WA MAREHEMU SHARO MILLIONEA KUZIKWA SAA 7 MCHANA HUU MUHEZA TANGA

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini kama ndio anaelekea kwenye nyumba yake ya milele.  

Mama Yake Hussein Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu


Nape akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa na watu ukielekea nyumbani 

Meneja wa Sharo anajulikana kwa jina la HK akizungumza 

Mkuu wa Wilaya ya Handeni & Elia 

Baadhi ya waigizaji wa bongo movie wakiwa wamepumzika baada ya mazishi

Wasanii wa Bongo Fleva wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye kaburi la marehemu Sharo Millionea

4 comments:

Unknown said...

Mungu ampumzishe kwa amani sharo

Unknown said...

xo pain

Unknown said...

amekufa bado kijana xaanaaaaaa

Unknown said...

2takukumbuka milele