Song:
Wazo
La Leo
Artist: Stamina Feat Fid Q
Studio: Bongo Records
Producer:
P
funk Majani
Song
Writters:
Stamina (verses) & Fid Q (chorus)
Intro...
U know what majani??nice to meet you
homie
Its moro town baby,,,shorobwenzi
Verse
1.
(Stamina)
Elimika nyangema, maisha hayaendeshwi na
nguo
Pesa ni vazi la mgema, haliwezi kuwa na
mpasuo
Vaa uaminifu,tupa boksi la kondomu
Hip hop haijengwi na bifu,underground
usijaze fomu
Maisha ni kujipanga, mganga usigawe
irizi
Viongozi msizuie ganja, huku mnachukua ushuru
wa rizz
Ridhiki ina kamba, ivute ili ikupe noti
Mkulima rudi shamba,dec mbegu siku hizi
hazioti
Maisha njia panda,mtembezi chagua pa
kwenda
Uchumi vazi la bwanga,ukishuka uvishe
suspenda
Shiba kwa nia,ukiwa mlafi wa malengo
Usikufuru we shukuru ukifaulu kila tendo
Punguza pupa,mpendaji uingie ndoani
Mapenzi yamevaa bukta,uswazi mapaja
hadharani
Usilale kijinga,kwenye kitanda cha
ushamba
Unaweza kuwa shabiki wa samba,na ukaishi
mwembe yanga
Chorus. (Fid Q)
Hiki
kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu
usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la
kuponya,lilokosa mdomo
Na hili
bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo
ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe
nasaha.
{hilo
ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo
wazo}
Verse 2. (Stamina)
Underground panga tenzi,ustar hauji kwa promo
Hakuna
tajiri wa mapenzi,kapuku punguza ngono
Bora
uitwe mfalme jua,kwenye utawala wa kishamba
Mapenzi
yakikusumbua,tafuta daktari wa kitanga
Vazi
unaloishi,mwenyezi yeye ndio disegner
Shetani
akikushawishi, mvute kwake kama dayna
Dunia
duara,jitahidi uizunguke
Mla
bata starehe hasara,,wekeza hadhi isishuke
Huna
undugu na bakhersa,niaje aje unakula unga
Mateja
wanahitaji sensa,taifa la kesho linavunda
Dogo
jifunze,heshima sio upaparazi
Mwambie
na dada ajitunze,mlango wake asiuache wazi
Kama
unajijua ni mchoyo,basi usingoje kupewa
Tafuta
pesa kwa moyo,sio kwa ushindi wa ngekewa
Sharo
mpe salamu,the great braza kanumba
Mwambie
bongo sio tamu,na lulu bado wamemfunga
Chorus(fid q)
Hiki
kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu
usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la
kuponya,lilokosa mdomo
Na hili
bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo
ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe
nasaha.
{hilo
ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo
wazo}
Verse 3.
(Stamina)
Utamu wa ndafu ya
harusi,sio wa ndoa we kilaza
Mbuzi atabaki
mbuzi,hata mle hadi mkasaza
Nchi tayari imekonda,mwananchi
tafuta ulaji
Life ngumu hadi omba
omba,kidonda anafanya mtaji
ukipata mazuri,jipange
kuikwepa hasara
kijana vazi la
msuli,haliwezi kukuvisha busara
ukiishi kwa hisia,kila
stone litakubanza
cha msingi ni kuweka
nia,ujivue kuwa mtanza
kata ya kijiji,haibebi
maji ya maendeleo
katibu tunza
mkwiji,msuli ukishuka kimeo
uchumi umeshika
tama,kwenye shavu la mlanguzi
raia usilaumu
chama,shiriki kwenye uchaguzi
unaweza ukavaa
kinga,ila ukafa kwa uaminifu
mzinzi usigawe
ujinga,sambaza ujumbe wasifu
hakuna snitch kama
pesa,ukiwa nae fanya vya maana
akiondoka
atakutesa,utamsaka usiku na mchana
Chorus. (Fid Q)
Hiki
kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu
usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la
kuponya,lilokosa mdomo
Na hili
bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo
ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe
nasaha.
{hilo
ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo
wazo}
10 comments:
miamia stamina and fid q
mmetisha wakali
Kaka umetulia, wimbo hautachuja kwani umejaa ujumbe! vp "ushauri nasaha" au ndio huu huu umeubadilisha jina?
Hii ni classic
japo haitatamba kama Kabwela
kabwela alitisha mbayaaaaaaaaaaa
but
congraturatio kwa hatua aliyopiga
kufanya kazi na fid q ni heshima kubwa xaaanaaaaaaa
Mmetisha kwa punch line zenu haxa Stamina Unajua,kweli underground apange Tenzi ili atoke xo akurupuke 2 kwa kujazwa ujinga kuwa anajua kumbe Kilaza 2.
Mmetisha kwa punch line zenu haxa Stamina Unajua,kweli underground apange Tenzi ili atoke xo akurupuke 2 kwa kujazwa ujinga kuwa anajua kumbe Kilaza 2.
Duh! Citak kuongea sabab ntasif mpak niongope!respct 4U bradas!
kama kawaida yenu
Single ni nzuri ujumbe unaeleweka Stamina akiendelea ivyo atafika mbali big up kwake
Kaka we mkare appriciate u!
Post a Comment