22.11.13

Sunday, January 13, 2013

Picha za Behind the scene za video mpya ya G-NAKO

 Hii ni video nyingine mpya ya msanii kutoka Nako2Nako na pia anaiwakilisha vema kundi la WEUSI namzungumzia G-Nako, video hii ilikuwa ikishutiwa kule Arusha maeneo ya NGURUDOTO. Video inaitwa BOYS TALK na humu ndani G-Nako amemshirikisha msanii mpya kwenye baadhi ya masikio ya wabongo kama mimi anaitwa HAMMOCK ni mzungu kama unavyomuona kwenye picha hii ya chini amevaa black tshirt na kofia. Dir wa video hii ni anaitwa MASEBO kutoka kampuni yake inayoitwa GOOD NATION.
Wimbo umetengenezwa na DARSH (Wanene Entertainment) and Daz Naledge

No comments: