Ikiwa ni siku ya furaha kwa Rais wa Masharobaro Bob Junior kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la Baba mzazi wa Bob Juniour yaana anaitwa RUMMY RAHEEM RUMMY (RRR) aka Triple R
11 comments:
Anonymous
said...
Hongera bob junior,natabiri kabisa jamani huyu mtoto akuwa mzuri sana.
raha ukipatata mtoto ukiwa kijana km bob juniuor sio ushazeeka ndo unajikongoja kupata mtoto ile furaha hasa subiri afikishe miaka miwili unapoenda unamchukua ili afaidi ustar wa baba yake mwenyewe

Hongera sana rais wetu wawasafi mungu akupe umri mrefu na maisha mema wewe na familia yako iwe yenyewe baraka tele na kila kherii kaka
Mashallah mungu awape umri mrefu na maisha ya furaha wewe na family yako
Toto la kwanza tena dume watoto wetu wakike usije wa tesa kama mama zao ulivyo tufanya wewe chocolate eeeh!
Haya baba rummy raheem rummy hongera na mwaka kuanza kupata zawadi ya mungu
Baraka za mungu zukushukia wewe na familia yako brother
Hongera kupata mrishii wakoo ila asije kuwa sharoo sanaa tuu big up mana mungu akupe mengi zaidi
Mr president umepata vais president sasa chocolate junior big up sanaaa
Bob junior tulizana sasa jenga familia vizuri ushakuwa baba piga kazi vyakutoshaa sanaa mungu awe nawe
Saaaaafi umetuletea jembe,,,,,senior bob junior
Post a Comment