22.11.13

Sunday, January 13, 2013

HyperKid ft Gnako

Kijana toka Pande za Moshi anayejiita HyperKid akiwa na Gnako the A city Finest Kankara katika pini la "Chapa Kazi" toka studio za noizmekah.com kwa defxtro,Hii ni Crunk Joint kwa fans wote wa muziki Tz na duniani, Download HAPA na kwa mawasiliano ya interviews & bookings check na HyperKid kupitia +255 713 468 151

1 comment:

Anonymous said...

huyu chalii balaa sana.. duh track kali hyo.