Check video Teaser ya
Joh Makini akizungumzia Tafsiri ya Mapenzi ya leo katika wimbo mpya wa Nikki wa
pili ft Gnako & Joh kwa jina "Nje ya Box" pamoja na Official
Audio
Download link HAPA kwa hisani kubwa ya VMG Africa pamoja na www.noizmekah.com
2 comments:
Bonge la ngoma ni noma, Mungu nijalie demu mpenda pesa, ili anifanye nitafute hela niwe kama bhakresa, asinipende mimi apende verosa, malighafi ya suruali sio boksa, Nikki ametisha sana
Nick Mmmbayyaaaaaa
Post a Comment