Friday, February 15, 2013

Joh Makini aizungumzia Tafsiri ya "Nje ya Box" pamoja na Official Audio download link

Check video Teaser ya Joh Makini akizungumzia Tafsiri ya Mapenzi ya leo katika wimbo mpya wa Nikki wa pili ft Gnako & Joh kwa jina "Nje ya Box" pamoja na Official Audio 

Download link HAPA kwa hisani kubwa ya VMG Africa pamoja na www.noizmekah.com


2 comments:

  1. Bonge la ngoma ni noma, Mungu nijalie demu mpenda pesa, ili anifanye nitafute hela niwe kama bhakresa, asinipende mimi apende verosa, malighafi ya suruali sio boksa, Nikki ametisha sana

    ReplyDelete
  2. Nick Mmmbayyaaaaaa

    ReplyDelete