Tafadhali bofya link hii http://ow.ly/fLqjx ili uwe nasi Live ifikapo Saa Nane kamili (2pm) katika mahojiano
ya moja kwa moja (Live Chat) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Ziada, Mtandao na
Ofa za Vodacom Bw. Charles M Matondane. Kama una swali lolote kwa Bwana Charles
M Matondane tafadhali kuwa nasi!
No comments:
Post a Comment