Friday, February 15, 2013

Chat live Today (15/02/2013) at 2PM with Vodacom Tanzania’s Head Of Value Added Services and Mobile internet, Charles M. Matondane!

Tafadhali bofya link hii http://ow.ly/fLqjx ili uwe nasi Live ifikapo Saa Nane kamili (2pm) katika mahojiano ya moja kwa moja (Live Chat) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Ziada, Mtandao na Ofa za Vodacom Bw. Charles M Matondane. Kama una swali lolote kwa Bwana Charles M Matondane tafadhali kuwa nasi!

No comments:

Post a Comment