22.11.13

Tuesday, February 26, 2013

(Audio) TGP ft Moplus & Catrina - Milion Moja

TGP, Kundi kongwe la muziki wa hiphop laachia ngoma mpya wakiwa Frost aka Djibril na Snuz wakishirikiana na Moplus & mwanadada Catrina katika ngoma MILION MOJAjuu ya beat ya Dj Azard pande za www.noizmekah.com chini ya mix yake DefXtro, Pata kusikiliza ngoma hiyo HAPA na kwa mawasiliano ya mahojiano na TGP check nao kupitia +255 765 544491 au +255 713 064 405

1 comment:

Unknown said...

Ngoma kali sana hii