Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la WATENGWA ambalo maskani yao iko Arusha JCB, juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen pande za Arusha.
Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha ndoa
Mtu mzima nae akidondosha wino
Ndugu jamaa na marafiki waliofika kushuhudia tukio hilo la kipekee
4 comments:
KWELI JEMBE UMEKWIVA, ONGERASANA MZAZI IYO NI ONE STEP FOWARD
Mh anatafuta visa tu huyo. Subir utasikia anaenda kusalimiacukweni ndio kimoja anazamia. Ila mnorway umempata
ongera jembe
Gud man,hongera acha hawa watoto wadogo wa dic 2..
Post a Comment