22.11.13

Monday, February 25, 2013

MAONI YA MDAU: KBC Da Kwanzanian

BONGO FLAVA+HIPHOP, BONGO MOVIE, MISS TANZANIA, BONGO MEDIA, KUMBI ZA STAREHE, BLOGS, WEBSITES.. 
Wote tunahusika kwa njia moja au nyingine kuchangia kutoa MATOKEO MABOVU YA MITIHANI YA SECONDARI 2012.. ambapo 67% FAILED (Division Zero).. HAWA WANAFUNZI WOTE NI MASHABIKI WAKO!!.. Lawama Kubwa ya kwanza ni kwa Mfumo Mbovu wa Elimu na uliopitwa na wakati.. "Very Outdated Curriculum" cannot meet 21st Century demands.. Wewe Entertainer ndio umekuwa ROLE MODEL wa hawa wanafunzi.. KUANZIA LEO NAKUOMBA UFIKIRIE NI JISI GANI UTAMSAIDIA SHABIKI WAKO HUYO "mwanafunzi" KUZINGATIA MASOMO??.. NYIE WAANDAJI WA MATAMASHA YA MUZIKI.. wateja wako wengi ni "wanafunzi".. WEWE MTANGAZAJI WA KIPINDI MAARUFU KATIKA REDIO na TV.. watazamaji wako wengi ni "wanafunzi".. KUANZIA LEO ..FIKIRIA NINI MCHANGO WAKO KTK KUOKOA "Taifa La Kesho"??.. Tusikae na kuiachia Goverment na Politicians, Vijana hawa "wanafunzi" hawasikilizi Siasa au Bunge.. wanasikiliza ENTERTAINERS.. 
ACT NOW!! 
OKOA JAMII*

2 comments:

Anonymous said...

hongera sana kwa umakini uliokuwa nao juu ya swala hili ambalo ni aibu kwa sisi wazazi ni matumaini yangu ujumbe wako umefika kwa wahusika na waufnyie kazi ili kuondoa hii aibu kwa taifa letu.

Anonymous said...

KBC da kwanzanian.......that smartness in you