22.11.13

Friday, February 22, 2013

Migengesho - Bad Taito ft. Mo Plus. (Official Video)

Baada Ya Kuwa Kimya Kidogo Kwa Mwaka Mzima Wa Jana BAD TAITO De Jr XPLASTAZ Wanakuja Kivingine Na Joint Nyingine Mpya Video Na Oudio Waliompa Shavu Mo Plus Ngoma Inakwenda kwa Jina La MIGENGESHO Imefanyika Studio Ya Noiz Mekah Chini Ya DX na Video Yake Imefanywa Na Kampuni Ya Red Film Chini Ya Innocent Mafuru Iliyopo Arusha Town.
AS  BAD TAITO SLOGAN ""IT'S DE SOUND OF HIP HOP""

No comments: