22.11.13

Sunday, March 24, 2013

FACEBOOK YAKE IMEIBIWA!! (HACKING)

KAKA HUYO PICHANI KWA JINA NI ITTINIZZI AMEIOMBA BLOG HII IMSAMBAZIE HABARI KWAMBA PEJI YAKE YA FB KUNA WATU WAMEITEKA.
 WATU HAO INAONEKANA WAMEBADILISHA PASSWORD. WAMEKUWA WAKIITUMIA KAMA YA KWAO ILA KWA JINA LILE LILE 'ITTINIZZI KUZITALA'
ILA KWA HIVI SASA FB HIYO IKO DEACTIVATED YAANI HAITUMIKI. ITTINIZZI ALIKUWA NA PEJI 2 JINA MOJA  SASA ANAITUMIA MOJA.

ANAOMBA MSAMAHA KAMA KUNA VITU VILIWEKWA KWENYE PEJI HIYO NA HAVIKUBALIKI NA JAMII KWA KUWA SI YEYE ITTINIZZI NDO EMEPOST.
WAKATI HUO HUO ANAOMBA WALIO MWIBIA (HACKING) FB YAKE HIYO WAIRUDISHE WAIFUNGUE.

No comments: