22.11.13

Sunday, March 24, 2013

PASAKA hii Q.CHIEF & SHILOLE ndani ya CLUB FUSSION MWANZA

Muendelezo wa Q Chilla is Back unaendelea baada ya kufanya xclusive show ndani ya maisha Club sasa anakwenda Mwanza kuwapatia mashabiki wake kile walichokimiss kwa zaidi ya Miaka mitano,ni ndani ya Fussin Club Mwanza Club mpya na ya kijanja jijini mwanza.Akiambata na na Malkia wa Miduara Tanzania Shilole ni combination kali yenye show kali na sauti tamu.
Tukutane pale Club Fussion.

No comments: