22.11.13

Wednesday, March 13, 2013

Huu ni muunganiko wa wasanii watano wachanga wa bongo fleva

Huu ni muunganiko wa wasanii watano wachanga wa bongo fleva ambao sooo watakuja kuwa wasanii wakubwa tanzania, Y TONY, MIRROR,SHADOOH,PAPAA MASAI,NA NUH. ambao wako chini ya mamenager tofauti ambao ni shabaha,hk,mr kapongo,bad, na muro ndio wanaowasimamia vijana hao kwa pamoja hivi karibuni wanategemea kufanya tamasha kubwa sana lakuzindua kundi hilo lenye vipaji vyakuimba.new maisha club dar tar 7 april. na baada ya hapo watazunguka katika maeneo tofauti katika kujitangaza na kutambulisha kazi zao,shadoo anatamba na wimbo wake wa by show, wakati papaa masai anatamba na ngari ng'ari aliomshirikisha ali kiba, miro anatamba na wimbo wake wa mapenzi si kama zamani wakati y tony anatamba na kibao chake cha sijazoeea masebene. lengo la kundi hili ni kufikia malengo katika muziki kwa vijana hawa.

No comments: