22.11.13

Wednesday, March 13, 2013

Sasa BONGO STAR LINK inapatikana kwenye Blackberry Apps

Kwa sasa unaweza kupata habari za Entertainment kutoka BONGO hapo hapo kwenye Blackberry yako.

Ingia kwenye Blackberry yako sehemu ya Apps halafu Search BONGO STAR LINK halafu Download hapo utaweza kuwa unatembelea kila muda ukijisikia. 

1 comment:

Anonymous said...

Tisha sanaaaa mwana