22.11.13

Saturday, March 30, 2013

MSANII AFRO MANIAC AZINDUA NGOMA YAKE MPYA SIKU YA BIRTHDAY YAKE LIVERPOOL UINGEREZA.

Msanii wa kundi la SSZK linalomilikiwa na produce mbezi,Afro Maniac,ambae ni mtanzania anaesoma U.K,jana usiku alizindua ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la tonite.Msanii huyo ambae ameshafanya Hit kibao kama swaggaz on aloshirikiana na stereo,cyrill na Godzila,ingine ni I miss you,ambayo alishirikiana na Dully sykes na ingine ni Navyorol ambayo pia alimshirikisha Cyril kamikaze na zote zikiwa chini ya producer mbezi.
Ngoma yake mpya ya tonite anatarajia kuja bongo kuishut jumanne ya wiki ijayo,ambayo hio ngoma ikiwa imetengeneza na production mbili na za nchi mbili tofauti yan producer mbezi toka Tz na george toka U.k. 

5 comments:

aficonindia said...

Team still style za kimbelee u did it blood

aficonindia said...

Team still style za kimbelee u did it blood

aficonindia said...

Team still style za kimbelee u did it blood

aficonindia said...

You did it blood

Anonymous said...

sasa huyo kijana ndo kusema kwamba ni mlevi sana kiasi kwamba kila picha yake awe ameshika 'mtungi'. By the way next time hata aweke picture nzuri sio hizo za kupigia jikoni maana naona full masufuria..and picha ya pili...thats too 'gayish'