22.11.13

Friday, March 29, 2013

BOB JUNIOR kukinukisha DENMARK, NORWAY & SWIZLAND

Rais wa Masharobaro wote duniani Bob Junior leo atakuwa na show yake kali pande za DENMARK (Copenhegen) na kesho atakuwa pande za NORWAY (Olso) halafu kesho kutwa Jumapili atamalizia SWIZLAND.
Watanzania mnaoishi pande hizo Bob Junior anawaomba mjitokeze kwa wingi ili muone utofauti wa show zake akiwa nyumbani na akitoka nje inavyokuwa

3 comments:

Anonymous said...

huyo ndo rais wangu

Anonymous said...

poa sana mwana wakilishaaa

Anonymous said...

diamond akinukisha sumba wanga