22.11.13

Tuesday, March 26, 2013

OCHU SHEGGY FEAT. ANETH OFFICIAL HD ( EMPTYSOULZ PRODUCTION )

7 comments:

Anonymous said...

Kitu cha kibongo hamna cha kimarekani ni full vichakani, ochu umetisha kakaaa. made in TZ

Anonymous said...

Emptysoulz nowmaah, rangi hizo wazee mnatisha mbaya

Anonymous said...

Emptysoulz nowmaah, rangi hizo wazee mnatisha mbaya

Anonymous said...

1st tym nimeiona eatv kama ckosei inaitwa KIINGEREZA... OCHU umetisha mzazi.. MAKINI SANA!!

Anonymous said...

Hivi kwanini watanzania wasiige huu mfano wa kuweka video zetu kiutanzania zaidi, hapo naona nyumba za udongo, dada anampasha mzee kitz kabisa na mzee nae mbishi. its a very nice video kwa mwaka huu na wengine mfuate njia hizo tumechoka masuluali kushuka kama nepi mpaka yanataka kudondoka

Texxaz!

kidume said...

hii ngoma emetulia,video pia imetulia big up
mdau HOUSTON,TX

Anonymous said...

umejitahidi bana idea ya nymbo na video zote zmependeza so tunazckilizia media #onelove