22.11.13

Friday, March 29, 2013

THE JACARANDA KUZINDULIWA MKESHA WA PASAKA.

Hiki ni kiota kipya ambacho kinatarajiwa kuzinduliwa siku ya mkesha wa Pasaka, kiota hiki ambacho kimepewa jina la THE JACARANDA kitazinduliwa kwa aina yake tofauti kabisa. The Jacaranda ipo maeneo ya Kinondoni barabara hii Mwananyama na iko inaangaliana na Mango Garden upande wa pili wa barabara. 


 Hizi picha mbili ni mapambo yalioko ndani ya The Jacaranda na kiukweli nilivutiwa nayo sana sana so fika na wewe pale siku ya mkesha wa Pasaka ujionee mwenyewe

No comments: