Kwa jina anajulikana kama DOGO NGWANGI mkali wa kuimba kila haina ya muziki unaokubalika
Anatokea kwenye REC LEBO ya FIRE MUSIC
Amepiga ngoma yake moja kali sana inaitwa BWII ameimba yeye kama yeye hajamshirikisha mtu.
Chini ya producer MORE FIRE
Jumamosi iliyopita alisikika kwa mara ya kwanza katika kipindi cha bongo fleva cha CLOUDS FM
kinachoendeshwa na ADAM MCHOMVU kila aliesikia kipindi iko alisikika kwa kusema huyu ndio kiboko na DOGO ASLAY NA DOGO JANJA.Na siku hiyo kwa mara ya kwanza ngoma yake hii ya bwiii ilisikika radioni na tayari amekwisha ifanyia video.