22.11.13

Sunday, April 21, 2013

(News) Nimeingia IRINGA kwaajili ya show ya GRAND MALT "DJ CHOKA"

Asubuhi hii nimeingia Iringa na hapo pichani ni Dj Rush kule nyuma ni Joh Makini... tumekuja kwenye show ya Grand Malt ambayo itafanyika leo mchana katika chuo cha Tumaini kilichopo hapa Iringa. thanks GOD for everthing

No comments: