22.11.13

Sunday, April 21, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye show ya GRAND MALT IRINGA jioni ya leo

 Ilikuwa ni show ya Grand Malt ambayo ilikuwa maalumu kwa wanavyuo katika kushinda michezo mbalimbali na mwisho wa siku chuo gani kitaibuka mshindi kutoka kila mkoa ambao Grand Malt ilipita. Sasa leo tulikuwa Iringa na msanii ambaye alikuwa anaburudisha na kutoa show kali alikuwa ni Joh Makini mwamba wa kaskazini.


 Joh Makini akipata picha ya pamoja na wanavyuo waliofika hapa chuo cha Tumaini

 Pendo kutoka IC pamoja na DJ Choka


No comments: