22.11.13

Tuesday, April 30, 2013

Soma Barua hii ya wazi kutoka kwa mdau wa BONGO FLEVA.

Naitwa Mtanzania Halisi Machungu !

Ninao ujumbe mdogo kwa jamii ya burudani hapa nchini,wiki iliyopita Tuzo za muziki wa Tanzania zilitangaza majina ya wahusika watakuamo kwenye kinyang’anyiro hicho kwa mwaka 2013 ni sawa kabisa wala sina la kuhoji kwa kuwa tayariwametajwa hao pekee.
Point yangu hapa ni kwa baadhi ya categories, kuna nyimbo kama sorry ya barnaba boy ni ya mwaka huu kabisa lakini imo na inawania tuzo,sasa basi waache ubabaishaji kabisa na pia kuna category ni THT tupu hii ina maana kuwa tuzo imeenda THT hakuna nafasi kwa watu wengine hiyo si kweli.

Sina maswali sana na categories nyingine, hip hop hivi fid q hua hajui au ni kwa nini hapewagi award na kwa nini hathaminiwi na kura watu hua tunampigia sana tu,hata hao watoto watamdharau mwisho wa siku wakati hawana hata robo ya uwezo wake.

Kwenye raga naomba watanzania wenzangu tufunguke macho na tuachane na uongo unaopangwa kuna jamaa anaitwa dabo huyu jamaa siamini kama kuna hata mmoja kati ya waliopangwa nae wanaomuweza baada ya raia kupiga kura sijui hua kuna nini kinafuata mpaka hapewi tuzo mwaka huu naomba haki itendeke na jamaa apewe tuzo yake wasisubiri afe.

Dada yetu Jide nakubali ni legendary lakini kwa mwaka jana hakua na heat yoyote labda wanamuogopa tu kwa kweli kwa utajiri wake,halafu kwa upande mwingine kuna dogo anaitwa belle 9 nae wanamnyanyasa sana kiukweli hali itendeke hapa sio kilasiku diamond au dimpoz ni ujinga.

Mambo ni hayo tu kwako Mtanzania mwenzangu unaetaka maendeleo ya muziki wetu lazima ukweli uonekane.Ni hayo tu !!!!!

9 comments:

Anonymous said...

broo hapo ni ukweli mtupu utawawekaje watu kwene kategor nyingi afu hana maaana wabongo tubadlike icje kuwa km ile ya 20 cent afu amna alichokifanya next year

Abdallah Mgeleka said...

That is right jamaa kaongea ukweli na mengneyo meng mjirekebishe...

Anonymous said...

Jamani uyo kaongea ukweli kabisa tunzo zimetawaliwa na THT, nyimbo gani kali ya lina ya kupata tunzo, Ruge acha kuharibu tunzo za watanzania ndo maana watu wanasusia tunzo

Anonymous said...

Kila mtu ana haki ya kuongea kile anachojiskia,kutokana na vile anavyohisi au kuona yeye na mawazo yake yalivyomtuma.watanzania tuna kasumba moja mbaya sana ya kupenda kulalamika ovyo halafu mwisho wa siku hatutoi suluhisho,nimesoma comments zote pamoja na huo ujumbe wa huyo jamaa shabaha,ila hakuna hata mmoja aliyetoa ufafanuzi ni namna gani hili tatizo tutalimaliza wote mmelalamika tu.wewe uliyemtaja ruge kwamba anaharibu tunzo una uhakika gani ni ruge anayeharibu tunzo?ruge umemuona kwenye kikao chochote cha kili music awards?acha kusema kitu ambacho huna uhakika nacho.kuwa na ushahidi wa jambo unaloongea.watanzania tukue kifikra na kimawazo.acheni lawama za kijinga fikirieni hilo tatizo ambalo nyie mnaliita tatizo mtalitatua vipi.ni hayo tuuuuu

Close said...

Nashindwa kuelewa wale watangazaji wote walihongwa na Ruge coz ni THT music award n jide hakuw na hits last year....

Anonymous said...

Dats true wanazngua wat wa kili award kama vp ayo mashndano yafutwe

Anonymous said...

eti prof nae yupo uwiiiiii tehhtehhhhhh hiphop ''kamili gado''uwiiiiii mbavu zanguuuu

Abuneri Mjasiriamaliwamwang'ingo said...

wabongo hamjawai kukosa sababu
pale ni pagumu
wangemnyima lady jd mngesema wanamkosea heshima
saizi wanataka kumpa
mnaxema sababu ya utajiri wake

af ukifwatilia mashabiki wengi ni wanafiki kula hawapigi af wanakua wa kwanza kulalamika
au
msanii haombi kula kupitia mitandao na vyombo vingine anategemea ukubwa wake

mf roma mwaka jana alikuwa anatuonyesha jinsi ya kumpigia kula online
namba zake kupitia fb akatoka
xo vi2 vingine tusilalamike.

Anonymous said...

hahahahahahaha uyo Lina ndo kabisa hakuna k2, pRof kaishIwa, 20% 2pa kule. Waache kubebA wasanii ksa wanamajna makubwa, wafate haki n wakal wapo weng 2 wenye vgezo. Wasipende kila mwaka flan na flan ndo washnd wa 2nzo.