Naitwa Mtanzania Halisi Machungu !
Ninao ujumbe mdogo kwa jamii ya burudani hapa nchini,wiki
iliyopita Tuzo za muziki wa Tanzania zilitangaza majina ya wahusika watakuamo
kwenye kinyang’anyiro hicho kwa mwaka 2013 ni sawa kabisa wala sina la kuhoji
kwa kuwa tayariwametajwa hao pekee.
Point yangu hapa ni kwa baadhi ya categories, kuna nyimbo
kama sorry ya barnaba boy ni ya mwaka huu kabisa lakini imo na inawania
tuzo,sasa basi waache ubabaishaji kabisa na pia kuna category ni THT tupu hii
ina maana kuwa tuzo imeenda THT hakuna nafasi kwa watu wengine hiyo si kweli.
Sina maswali sana na categories nyingine, hip hop hivi fid q
hua hajui au ni kwa nini hapewagi award na kwa nini hathaminiwi na kura watu
hua tunampigia sana tu,hata hao watoto watamdharau mwisho wa siku wakati hawana
hata robo ya uwezo wake.
Kwenye raga naomba watanzania wenzangu tufunguke macho na
tuachane na uongo unaopangwa kuna jamaa anaitwa dabo huyu jamaa siamini kama
kuna hata mmoja kati ya waliopangwa nae wanaomuweza baada ya raia kupiga kura
sijui hua kuna nini kinafuata mpaka hapewi tuzo mwaka huu naomba haki itendeke
na jamaa apewe tuzo yake wasisubiri afe.
Dada yetu Jide nakubali ni legendary lakini kwa mwaka jana
hakua na heat yoyote labda wanamuogopa tu kwa kweli kwa utajiri wake,halafu kwa
upande mwingine kuna dogo anaitwa belle 9 nae wanamnyanyasa sana kiukweli hali
itendeke hapa sio kilasiku diamond au dimpoz ni ujinga.
Mambo ni hayo tu kwako Mtanzania mwenzangu unaetaka
maendeleo ya muziki wetu lazima ukweli uonekane.Ni hayo tu !!!!!
9 comments:
broo hapo ni ukweli mtupu utawawekaje watu kwene kategor nyingi afu hana maaana wabongo tubadlike icje kuwa km ile ya 20 cent afu amna alichokifanya next year
That is right jamaa kaongea ukweli na mengneyo meng mjirekebishe...
Jamani uyo kaongea ukweli kabisa tunzo zimetawaliwa na THT, nyimbo gani kali ya lina ya kupata tunzo, Ruge acha kuharibu tunzo za watanzania ndo maana watu wanasusia tunzo
Kila mtu ana haki ya kuongea kile anachojiskia,kutokana na vile anavyohisi au kuona yeye na mawazo yake yalivyomtuma.watanzania tuna kasumba moja mbaya sana ya kupenda kulalamika ovyo halafu mwisho wa siku hatutoi suluhisho,nimesoma comments zote pamoja na huo ujumbe wa huyo jamaa shabaha,ila hakuna hata mmoja aliyetoa ufafanuzi ni namna gani hili tatizo tutalimaliza wote mmelalamika tu.wewe uliyemtaja ruge kwamba anaharibu tunzo una uhakika gani ni ruge anayeharibu tunzo?ruge umemuona kwenye kikao chochote cha kili music awards?acha kusema kitu ambacho huna uhakika nacho.kuwa na ushahidi wa jambo unaloongea.watanzania tukue kifikra na kimawazo.acheni lawama za kijinga fikirieni hilo tatizo ambalo nyie mnaliita tatizo mtalitatua vipi.ni hayo tuuuuu
Nashindwa kuelewa wale watangazaji wote walihongwa na Ruge coz ni THT music award n jide hakuw na hits last year....
Dats true wanazngua wat wa kili award kama vp ayo mashndano yafutwe
eti prof nae yupo uwiiiiii tehhtehhhhhh hiphop ''kamili gado''uwiiiiii mbavu zanguuuu
wabongo hamjawai kukosa sababu
pale ni pagumu
wangemnyima lady jd mngesema wanamkosea heshima
saizi wanataka kumpa
mnaxema sababu ya utajiri wake
af ukifwatilia mashabiki wengi ni wanafiki kula hawapigi af wanakua wa kwanza kulalamika
au
msanii haombi kula kupitia mitandao na vyombo vingine anategemea ukubwa wake
mf roma mwaka jana alikuwa anatuonyesha jinsi ya kumpigia kula online
namba zake kupitia fb akatoka
xo vi2 vingine tusilalamike.
hahahahahahaha uyo Lina ndo kabisa hakuna k2, pRof kaishIwa, 20% 2pa kule. Waache kubebA wasanii ksa wanamajna makubwa, wafate haki n wakal wapo weng 2 wenye vgezo. Wasipende kila mwaka flan na flan ndo washnd wa 2nzo.
Post a Comment