22.11.13

Wednesday, May 29, 2013

(Audio) MwakaKitoko ft Gentriez & Mwiro - Nenda

Ni mkono toka kwa Mwakalukwa akiwashirikisha Gentriez toak wanene entertainment na Mwiro toka meccaCheka wanakwambia "NENDA" mkono umepikwa pande za noizmekah studios Arusha kwa DefXtro sikiliza HAPA kwa mawasiliano zaidi check na mwaka kupitia +255 718 441 699 keep supporting Tazanian Music

No comments: