22.11.13

Wednesday, May 29, 2013

(News) Staki kusikia nyimbo zote za marehemu ALBERT MANGWEAR alizorekodi BONGO REC zikipigwa CLOUDS FM kuanzia sasa.

 Muda mfupi uliopita nilipokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anajulikana kwa jina la P Funk Majani na kuniomba nipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.

25 comments:

Anonymous said...

Majani na Bongo records waache unafiki, walikuwa wapi kupiga marufuku kupigwa hizo nyimbo Ngwear akiwa hai? Wanatafuta umaarifu tu hao wanafiki na wasanii bongo hawataendelea kwa kuendekeza unafiki

Anonymous said...

Jamani kuishiwa kubaya sana, hv hizo mismanagement za clouds zimejulikana baada ya Ngwear kufariki? Na kwa nn msitoe kwa uwazi ni kwa kivp hzo mismanagement zimechangia kifo cha Ngwear? Na je ni kwann kila msanii anapofeli Tanzania kisingizio ni clouds? Kwann wacjitafakari life styles zao mbaya za ulevi na madawa kuwa ndo zinaharibu maisha yao?

Anonymous said...

Kwa nini kila siku clouds tu??!! Vibaraka wa clouds na msiotaka kuwaza nje ya box maxima mjue clouds nni waharibifu wa mziki na wasanii,I short ni chanzo cha chuki na dhulma,wazeni Saida karoli na wengine weengiii!!;;

Anonymous said...

achen hzo!!!mbona wabongo hamkoc cha kuongea???ebooo!!!!

Antony Kayage said...

du! Ka series vile ngoja wenye midomo michafu 22lie!

Anonymous said...

sasa hzo namba mbona mmezifuta!kama cio uongo na unafki!achien namba zionekane

Anonymous said...

ni kitu kizuri alichofanya p.funk alikuwa hai hawakupiga nyimbo zake ila sasa ndo wanajifanya wanajua mi niliacha kuckiliza clouds kitambo sana

Anonymous said...

Mi nimemuelewa majani alichokisema kwamba sasa hivi wasipige nyimbo za mangwea ambazo zimetengenezwa kwenye studio yake kwakuwa clouds watachukulia ulaji kupitia Mangwea ambaye yeye ameshafariki na hatofaidika chochote na hizo promo za clouds, na yeye alitaka nyimbo hizo zisipigwe na clouds tangu mwanzo ila alihofia akitangaza hivyo Mangwea hatokuwa na promo kwahiyo sasa hivi ameshafariki zisipigwe ili wote wasipate promo, na ana uwezo wakusema nyimbo nyingi za wasanii waliorekodi kwake zisipigwe clouds ila anahofia wasanii watakufa njaa kwani kuna wasanii wengi walirekodiwa nyimbo zao na P Funk kwa mkataba naye. Big up P Funk.

mubast said...

saida karoli wamempeleka wap tna clouds?

mubast said...

clouds wamemfanya nn saida karoli? Nauliza rakin

Anonymous said...

Safi sana p funk we support you

Anonymous said...

Makes no sense

Anonymous said...

Baada ya kifo ndo unaona ujitokeze au......mbona ngwair hakuwah kusema k2 kuhusu nyimbo zake kupigwa cloudz..acheni 2umuenzi sehemu zote kwa kazi yake aliyofanya jaman,,,sio mda wakubishana nw...2uungane kumpumzisha kwa Aman na Kuenzi Mema yake,,,,R.I.P ALBERT MANGWEA

abuu thexculboy said...

We gat u majani.!uko sahihi kwa cc tuliokuelewa.!

Anonymous said...

wasanii wote waungane kutokomeza hii radio ya machoko for ze respect of cow wizy

Anonymous said...

Acha ujinga Majani, Unatafta umaaruf wa kijinga
Kisa kafa ndo unachong

Anonymous said...

kuishiwa maarifa,
Iv mtu mzima kama ngwear avutishwe unga na clouds how?,na huyo m2 the p nae mtasemaje?,
Acheni ujinga nyie'

Anonymous said...

Ngwear alishaonywa sana kula dawa na braza kalapina,ushahidi angalia nyimbo ya hiphop bila madawa utaona bango limewataja hadi majina plus tid,ni uvivu wa kufikiria tu'

Anonymous said...

haya bana mzee ashasema

Anonymous said...

majani kufulia kwako siyo udiss clouds NAWE DJ CHOKO ACHA KUSHABIKIA UJINGA

Anonymous said...

Ukiangalia wote wanaolalamikia clouds yani wameishiwa,wana stress za maisha.pfunk kubali matokeo,chart yako imeshuka.jipangeee

Anonymous said...

Ruge Mutahaba - utaua wangapi? Next ni Lady Jaydee ama? Nawe zako zitafika tu!!!

Anonymous said...

dah...lets wait...

Anonymous said...

watu hamuelewi sababu za p.funk kusema ngma za
ngwea alizo record yy zicpigwe...ulizeni vzr mfahamishwe na c kuropoka ropoka tu...big-up p.funk uko saawa kabisa!

Anonymous said...

P funk ana tapa tapa... Yeye mwenyewe alichangia kuua ndoto za wasanii wachanga walokua wanataka kutoka kipindi hicho... Alikua anaringa sana.. Sasa hivi studio zimekua nyingi kafulia anatafuta pa kutokea kupitia msiba wa Ngwea... Jipange ww P.. RIP Albert