Habari kutoka kwa washkaji zangu walioko South Africa wamenipa ripoti ya kwamba msanii aliyekuwa akiwakilisha kundi la EAST ZOO Albert Mangwear amefariki dunia katika hosp ya St. Hellen iliyopo Jo'burg nusu saa iliyopita kutoka sasa.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
AMEN.
4 comments:
R.I.P Ngwear tulikupenda ila Mungu amekupenda zaid
Rest in peace Mr. Mikasi.
Ngwair, will never perish in hearts of Bongo-hip hop fans.. R.I.P 'NGWAIR'.
RIP broo, you have gone too soon daima tutakukumbuka.
Post a Comment