Mhariri
wa gazeti la Mtanzania Bw.Kurwa Karedia,akimfanyia mahojiano mshindi wa
shilingi Milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela,Bw.Valerian
Kamugisha, alipokutana nae katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwl.Julius Nyerere akisubiri kupanda ndege kwenda nyumbani kwao Kigoma
mara baada ya kukabidhiwa pesa zake hapo jana.
Mshindi
wa shilingi Milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela,Bw.Valerian
Kamugisha, alikipungnia mkono kuwaaga baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania waliomsindikiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwl.Julius Nyerere tayari kwa kurudi nyumbani kwao Kigoma mara baada ya
kukabidhiwa pesa zake hapo jana.
Mshindi
wa shilingi Milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela,Bw.Valerian
Kamugisha wa kwanza kushoto akiwa kwenye ndege na Meneja Uhusiano wa
Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,wakielekea Kigoma nyumbani kwa
mshindi,mara ya makabidhiano ya fedha zake alikipungnia mkono kuwaaga baadhi ya wafanyakazi wa Vodaco hapo jana kukamilika.
Producer mkongwe nchini Bw.Fred Nyantori akifanya vitu vyake ndani ya pipa..
Mshindi
wa shilingi Milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela,Bw.Valerian
Kamugisha,akijisomea habari mbalimbali za gazeti la Daily News ndani ya
ndege kurudi kwao Kigoma,mara baada ya kukabidhiwa rasmi pesa zake hapo
jana.
Mshindi
wa shilingi Milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela,Bw.Valerian
Kamugisha,akisukuma toroli lenye mizigo yake mara baada ya kuwasili
uwanja wa ndege wa Mwanza,akiambatana na Meneja wa Vodacom
Foundation,Bi.Grace Lyon,wakiendelea na safari ya Kigoma nyumbani kwa
mshindi,mara baada ya makabidhiano ya fedha zake rasmi hapo jana.
No comments:
Post a Comment