22.11.13

Monday, June 03, 2013

(News) Wasanii wa ARUSHA watoa rambirambi zao kwa marehemu Albert Mangweha.

Jana jioni baadhi ya wasanii wote kutoka Arusha wakiongozwa na JCB walikutana wote na kupitisha michango yao kwa kila msanii wa hapo na kuiwakilisha kwa familia ya marehemu Albert Mangweha. 
Hata wewe unaweza kufanya hivyo kwa kutuma fedha zako kwa M-Pesa kwenda namba hii 0754 967738 

Wasanii wa Arusha wakiwa kwenye picha moja

No comments: