22.11.13

Monday, June 03, 2013

(Voice Note) Taarifa ya kamati kuhusu kuwasili kwa mwili wa Albert Mangwea,


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati ya Maandalizi ya Mazishi ya Albert Mangweha tunapenda kuwaatarifu rasmi kuwa mwili wa marehemu Ndugu yetu, mpendwa wetu Albert Mangweha utawasili  kesho tarehe 04/06/2013 saa  nane mchana na Shirika la Ndege la Afrika ya Kusini kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (Terminal One).

Tunaomba mjitokeze kwa wingi kwa ajili ya kumpokea ndugu yetu, mpendwa wetu Albert Mangweha. 

Taarifa hii kwa mujibu wa Kamati ya Maandalizi ya Mapokezi na Mazishi. Asanteni na Mungu awabariki.

No comments: