22.11.13

Thursday, June 13, 2013

(Photo) D' WIKEND CHART SHOW Inatimiza mwaka 1 na party inaanza kesho jijini MWANZA

Ile show kali ya D' wikend chart show inatimiza mwaka mmoja toka imeanza kwenye televisheni ya Clouds TV, hii ni party yakusema asante kwa mashabiki wao wa MWANZA ambapo party itafanyika kesho tarehe 14 pale CLUB FUSION Mwanza Hotel na Jumamosi party itaelekea ARUSHA pale Triple A.

No comments: