22.11.13

Thursday, June 13, 2013

(Photo's) KALA JEREMIAH aipeleka tuzo yake ya MSANII BORA WA HIP HOP nyumbani kwa marehemu ALBERT MANGWEHA

 Sasa hivi ni msafara wakuelekea Morogoro Kihonda kwenye familia ya Marehemu Albert Mangweha, msafara huu unaongozwa na msanii aliyechukuwa tuzo 3 moja ikiwa ya msanii bora wa Hip Hop anajulikana kwa jina la Kala Jeremiah. Kala anakwenda nyumbani kwa marehemu kuwagawia tuzo hiyo kama heshima yake kwa Mangweha na familia yake.


 Kala Jeremiah aliyevaa tshirt ya papo kushoto akiwa na marafiki zake

Angeris akiwa na Kala Jeremiah 


Walipofika Morogoro walikutana na Afande Selle na safari ikaanza kuelekea nyumbani kwa mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha

No comments: