22.11.13

Wednesday, June 12, 2013

(Photo) Hapa ndipo litakapodondoka lile party la miaka 13 ya mwanadada LADY JAYDEE Ijumaa hii

Hapa ndipo panapoitwa #NyumbaniLounge sehemu ya Packing ambapo siku ya Ijumaa ndio litadondoshwa lile party la miaka 13 ya mwanadada @JideJaydee sasa hivi kinachoendelea ni upimaji wa kuja kulidondosha lile li steji mwanawane hahahaa #hadiRAHA

No comments: